Mkopo huu hutolewa kwa kipindi kisichozidi miezi thelathini na sita (MIAKA MITATU).
Mkopo huu utatolewa kwa mwanachama ambaye tayari anao mkopo wa maendeleo
Riba ya mkopo huu ni Asilimia 13% kwa mfumo wa kushuka.
Mkopo huu utakatwa kwenye hati ya mshahara
Ada ya maombi ya mkopo ni 1.5%